Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana leo Oktoba, 25, 2022 ameshiriki kikao cha dharura kwa njia ya mtandao cha Mawaziri wa Maliasili, Mazingira na Utalii wa SADC
Baadhi ya wataalamu kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii wakishiriki kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii cha kujadili matumizi ya kiasi cha Sh.Bilioni…
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiwa kwenye kikao cha kujadili matumizi ya kiasi cha Sh.Bilioni 90.2 ilizoidhinishiwa Wizara hiyo kwa ajili ya utekelezaji
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Juma Mkomi akizungumza Jijini Dodoma na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ambapo amewaeleza kuwa…
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt.Pindi Chana akizungumza Jijini Dodoma na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kuhusu matumizi ya kiasi cha Sh.Bilioni…
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt.Pindi Chana katika picha ya pamoja na Wawakilishi na wanachama wa TATO wanaoshirki katika zoezi la kuzima moto Mlima Kilimanjaro
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Seleman Jafo wameongeza nguvu katika uratibu wa zoezi la…