You Are Here: Home » Whats New » MAPATO, IDADI YA UTALII VYAPAA KIPINDI CHA UVIKO -19

MAPATO, IDADI YA UTALII VYAPAA KIPINDI CHA UVIKO -19

Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana amesema mapato ya utalii yameongezeka kipidi cha mlipuko wa wa ugonjwa wa UVIKO 19 kutoka Dola za Marekani 714 milioni ( Sh 1.6 trilioni) mwaka 2020 hadi kufiki Dola 1.3 Bil, ( Sh 3 trilioni) mwak 2021

Pia, Waziri huyI amesema idadi ya watalii imeongezeja kutoka watalii 600,000 mwaka 2020 hadi kufikia watalii 922,000 mwaka 2021

Dkt.Chana amebainisha hayo Oktoba 27, 2022 Jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa pili wa Kimataifa unaolenga kuiunganisha sekta hiyo na Wataalamu walio katika sekta ya utalii na ukarimu katika nchi zinazoendelea

 

© 2022 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top