IDADI YA MAPATO YA WATALII NCHINI YAZIDI KUONGEZEKA.
Idadi ya mapato yatokanayo na utalii imeongezeka kutoka Dola za Kimarekani milioni 714.59 kwa mwaka 2020 hadi kufikia Dola za Kimarekani milioni 1,310.34 kwa mwaka 2021
Taarifa hiyo imetolewa leo Ijumaa Septemba 30, 2022 Jijini Arusha na Mwenyekiti wa Kamati ya Ripoti ya Utafiti wa Watalii ambaye ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Juma S. Mkomi wakati wa uzinduzi wa ripoti ya Matokeo ya Utafiti wa Watalii Walioondoka nchini mwaka 2021.
Naibu Katibu Mkuu Mkomi amesema taarifa ya utafiti…