WAZIRI WA MALIASILI PROF. JUMANNE MAGHEMBE AZUNGUMZIA TUKIO LA KUSHAMBULIWA HELKOPTA YA DORIA

WAZIRI WA MALIASILI PROF. JUMANNE MAGHEMBE AZUNGUMZIA TUKIO LA KUSHAMBULIWA HELKOPTA YA DORIA

Waziri wa Maliasili Prof. Maghembe kushoto akizungumza na waandishi wa habari leo juu ya tukio hilo. Katikati ni Naibu Waziri Eng. Makani na Katibu Mkuu Meja Gen. Milanzi

WAZIRI WA MALIASILI PROF. JUMANNE MAGHEMBE AONANA NA BALOZI WA UJERUMANI NCHINI MHE. EGON KONCHANKE

WAZIRI WA MALIASILI PROF. JUMANNE MAGHEMBE AONANA NA BALOZI WA UJERUMANI NCHINI MHE. EGON KONCHANKE

Waziri wa Maliasili Prof. Jumanne Maghembe (wa pili kulia) akizungumza na Balozi wa Ujerumani nchini Mhe. Egon Konchanke (kushoto) Ofisini kwake Mpingo House

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Maj. Gen. Milanzi aonana na Wadau wa Maendeleo DPG-E

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Maj. Gen. Milanzi aonana na Wadau wa Maendeleo DPG-E

Katibu Mkuu Maliasili Maj. Gen. Milanzi (kulia) akizungumza na viongozi wa Kundi la Washirika wa Maendeleo katika sekta ya Mazingira, Maliasili na Mabadiliko ya Tabia Nchi (DPG-E)

Katibu Mkuu Maliasili Meja Jenerali Milanzi akabidhiwa ofisi na aliyekuwa kabla yake Dkt. Meru

Katibu Mkuu Maliasili Meja Jenerali Milanzi akabidhiwa ofisi na aliyekuwa kabla yake Dkt. Meru

Katibu Mkuu Meja Jenerali Gaudence Milanzi (kulia) akikabidhiwa hati ya makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Katibu Mkuu kabla yake Dkt. Adelhelm Meru aliyehamishiwa Wizara ya Viwanda.

Waziri Maghembe amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mipango TFS na Maafisa Misitu wa Mikoa yote nchini

Waziri Maghembe amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Mipango TFS na Maafisa Misitu wa Mikoa yote nchini

Waziri wa Maliasili Prof. Maghembe akizungumza kwenye kikao na Idara ya Misitu na nyuki katika ukumbi wa Ngorongoro, Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Meja Jenerali Gaudence Milanzi.

Ministry

Welcome to MNRT

Ministry of Natural Resources and Tourism of United Republic of Tanzania, is the Ministry responsible for management of Natural, Cultural and Tourism resources. Tanzania has a great potential for natural resources, cultural and tourism attractions. In terms of wildlife, the present network of wildlife Protected Areas (PAs) in Tanzania is comprised of 14 National Parks, Ngorongoro Conservation Area, 38 Game Reserves and 43 Game Controlled Areas. The wildlife protected area network covers 233,300 Sq. Km (28%) of the total Tanzania's land surface area. Read more »

© 2016 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top