TANZANIA STANDS AT WORLD TRAVEL MARKET 2017, LONDON

TANZANIA STANDS AT WORLD TRAVEL MARKET 2017, LONDON

The Deputy Permanent Secretary of Ministry of Natural Resources, Dr. Aloyce .K. Nzuki (L) shaking hands with the President Paul Kagame of Rwanda when he paid visit to Tanzania Stand.

BENKI YA DUNIA YAIPA TANZANIA MKOPO NAFUU WA BILIONI 330 KUENDELEZA UTALII KANDA YA KUSINI

BENKI YA DUNIA YAIPA TANZANIA MKOPO NAFUU WA BILIONI 330 KUENDELEZA UTALII KANDA YA KUSINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili, Mej. Jen. Gaudence Milanzi (kulia), akitoa neno la shukurani baada ya kusainiwa kwa makubaliano ya mkopo huo (Dola za Kimarekani Milioni 150).

WAZIRI KIGWANGALLA ATEMBELEA HIFADHI YA ZIWA MANYARA

WAZIRI KIGWANGALLA ATEMBELEA HIFADHI YA ZIWA MANYARA

Waziri wa Maliasili, Dk. Hamisi Kigwangalla akimsikiliza Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi hiyo, Noelia Myonga alipotembelea kukagua shughuli za Uhifadhi na Utalii. KWA PICHA ZAIDI, BOFYA PICHA.

UFUNGUZI WA KIKAO CHA WADAU WA MISITU, DODOMA

UFUNGUZI WA KIKAO CHA WADAU WA MISITU, DODOMA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akiteta jambo na Balozi wa Switzeland, Florence Matli baada ya ufunguzi huo wa kikao hicho. BOFYA PICHA KUSOMA HABARI KAMILI.

NAIBU WAZIRI ATEMBELEA MAPOROMOKO YA MTO KALAMBO

NAIBU WAZIRI ATEMBELEA MAPOROMOKO YA MTO KALAMBO

Naibu Waziri wa Maliasili, Mhe. Japhet Hasunga(kushoto)akiongozwa na DAS Kalambo (Rukwa), Frank Schalwe kushuka ngazi za maporomoko hayo. KUSOMA HABARI KAMILI BOFYA PICHA.

ZIARA YA UTATUZI WA MGOGORO WA PORI TENGEFU LOLIONDO

ZIARA YA UTATUZI WA MGOGORO WA PORI TENGEFU LOLIONDO

Waziri wa Maliasili, Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua eneo la pori hilo kujua changamoto zilizopo kwa ajili ya utatuzi wake. KUSIKILIZA TAMKO ALILOTOA KUHUSU MGOGORO HUO BOFYA PICHA.

ZIARA YA KUTATUA MIGOGORO YA HIFADHI MKOANI TABORA

ZIARA YA KUTATUA MIGOGORO YA HIFADHI MKOANI TABORA

Naibu Waziri wa Maliasili, Mhe. Japhet Hasunga akizungumza na wananchi wilayani Urambo kuhusu mgogoro wa mpaka wa hifadhi ya North Ugalla. KUSOMA HABARI KAMILI BOFYA PICHA.

Ministry

Welcome to MNRT

Ministry of Natural Resources and Tourism of United Republic of Tanzania, is the Ministry responsible for management of Natural, Cultural and Tourism resources. Tanzania has a great potential for natural resources, cultural and tourism attractions. In terms of wildlife, the present network of wildlife Protected Areas (PAs) in Tanzania is comprised of 16 National Parks, Ngorongoro Conservation Area, 38 Game Reserves and 43 Game Controlled Areas. The wildlife protected area network covers 233,300 Sq. Km (28%) of the total Tanzania's land surface area. Read more »

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top