WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WATENDAJI WAKUU WA MALIASILI

WAZIRI MKUU AZUNGUMZA NA WATENDAJI WAKUU WA MALIASILI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akizungumza na watendaji wakuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii mjini Dodoma. Zaidi Bofya PICHA.

MAHAFALI YA SITA CHUO CHA HOTELI NA UTALII NJUWENI

MAHAFALI YA SITA CHUO CHA HOTELI NA UTALII NJUWENI

Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe (wa pili kulia) akisikiliza maelezo kutoka kwa mmoja ya wahitimu wa mafunzo hayo chuoni hapo, mjini Kibaha. Kusoma zaidi bofya PICHA.

PROMOTING INVESTMENT IN PLANTATION FORESTRY

PROMOTING INVESTMENT IN PLANTATION FORESTRY

Minister for Natural Resources, Prof. Jumanne Maghembe addressing the Conference on promoting investment in plantation forestry at Hyatt Regency, Dar. To read more, CLICK PHOTO.

ISRAEL YAFUNGUA KITUO CHA KUTOLEA VIZA JIJINI DAR

ISRAEL YAFUNGUA KITUO CHA KUTOLEA VIZA JIJINI DAR

Waziri wa Maliasili, Prof. Maghembe na Balozi wa Israel mwenye makazi yake nchini Kenya, Yahel Vilan wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa kituo hicho kitakachopanua wigo wa utalii nchini.

MAFUNZO YA KUKABILIANA NA VIHATARISHI (RISK MANAGEMENT)

MAFUNZO YA KUKABILIANA NA VIHATARISHI (RISK MANAGEMENT)

Picha ya pamoja, Katibu Mkuu Maliasili, Maj. Gen. Gaudence Milanzi (katikati waliokaa) na baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo ya wiki mbili yaliyofanyika Chuo cha Taifa cha Utalii,…

KUELEKEA MFUMO WA JESHI USU KATIKA UHIFADHI NCHINI

KUELEKEA MFUMO WA JESHI USU KATIKA UHIFADHI NCHINI

Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe akikagua gwaride la wahitimu wa mafunzo ya Jeshi Usu kwa wahifadhi kutoka TANAPA, TAWA na NGORONGORO yaliyofanyika Mlele Mkoani Katavi.

WAZIRI AAHIDI MABORESHO CHUO CHA TAIFA CHA UTALII

WAZIRI AAHIDI MABORESHO CHUO CHA TAIFA CHA UTALII

Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam kuhusu hatua za kuboresha chuo hicho. Bofya PICHA kusoma zaidi.

Ministry

Welcome to MNRT

Ministry of Natural Resources and Tourism of United Republic of Tanzania, is the Ministry responsible for management of Natural, Cultural and Tourism resources. Tanzania has a great potential for natural resources, cultural and tourism attractions. In terms of wildlife, the present network of wildlife Protected Areas (PAs) in Tanzania is comprised of 16 National Parks, Ngorongoro Conservation Area, 38 Game Reserves and 43 Game Controlled Areas. The wildlife protected area network covers 233,300 Sq. Km (28%) of the total Tanzania's land surface area. Read more »

© 2017 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top