ZIARA YA WAZIRI KIGWANGALLA WILAYANI SIKONGE, TABORA

ZIARA YA WAZIRI KIGWANGALLA WILAYANI SIKONGE, TABORA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akipiga jaramba alipokuwa akikagua Hifadhi ya Msitu wa Ipembampazi katika wilaya ya Sikonge mkoani Tabora. BOFYA PICHA KWA HABARI.

ZIARA YA WAZIRI KIGWANGALLA - TARIME MKOANI MARA

ZIARA YA WAZIRI KIGWANGALLA - TARIME MKOANI MARA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akimuonesha Mkuu wa Mkoa wa Mara Adam Malima mtego wa misumari uliotegeshewa msafara wake. BOFYA PICHA KWA HABARI ZAIDI.

WAZIRI KIGWANGALLA ATEMBELEA MAPOROMOKO YA NKONDWE

WAZIRI KIGWANGALLA ATEMBELEA MAPOROMOKO YA NKONDWE

Muonekano mwanana wa maporomoko ya Nkondwe ambayo yapo katika wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi. Bofya PICHA kwa matukio zaidi ya ziara hiyoya Mhe. Waziri Kigwangalla..

ZIARA YA WAZIRI KIGWANGALLA MKOANI KATAVI

ZIARA YA WAZIRI KIGWANGALLA MKOANI KATAVI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akishiriki na viongozi wengine wa mkoa huo kuzima moto uliokutwa ukiwaka ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Inyonga. HABARI BOFYA PICHA.

MIUNDOMBINU KALAMBO FALLS YAENDELEA KUIMARISHWA

MIUNDOMBINU KALAMBO FALLS YAENDELEA KUIMARISHWA

Waziri wa Maliasili, Dk. Hamisi Kigwangalla na viongozi wengine wa mkoa wa Rukwa wakipanda ngazi zinazojengwa kuwawezesha watalii kushuka hadi kwenye kina cha maporomoko hayo.

MKURUGENZI MSTAAFU,DKT. NEBBO MWINA AAGANA NA WATUMISHI WA MALIASILI NA UTALII

MKURUGENZI MSTAAFU,DKT. NEBBO MWINA AAGANA NA WATUMISHI WA MALIASILI NA UTALII

Katibu Mkuu wa Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Watumishi wa Maliasili wakati wakimuaga Mkurugenzi Mstaafu, Dkt. Nebbo Mwina…

RAIS MSTAAFU  MWINYI AIFAGILIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII MAONESHO YA SABASABA

RAIS MSTAAFU MWINYI AIFAGILIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII MAONESHO YA SABASABA

Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi ( wa pili kushoto) akipatiwa maelezo na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Deograsius Mdamu ( wa pili kulia) karibu na bu eneo la bustani ya wanyamapori

Ministry

Welcome to MNRT

Ministry of Natural Resources and Tourism of United Republic of Tanzania, is the Ministry responsible for management of Natural, Cultural and Tourism resources. Tanzania has a great potential for natural resources, cultural and tourism attractions. In terms of wildlife, the present network of wildlife Protected Areas (PAs) in Tanzania is comprised of 16 National Parks, Ngorongoro Conservation Area, 38 Game Reserves and 43 Game Controlled Areas. The wildlife protected area network covers 233,300 Sq. Km (28%) of the total Tanzania's land surface area. Read more »

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top