KUELEKEA MFUMO WA JESHI USU KATIKA UHIFADHI NCHINI

KUELEKEA MFUMO WA JESHI USU KATIKA UHIFADHI NCHINI

Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe akikagua gwaride la wahitimu wa mafunzo ya Jeshi Usu kwa wahifadhi kutoka TANAPA, TAWA na NGORONGORO yaliyofanyika Mlele Mkoani Katavi.

WAZIRI AAHIDI MABORESHO CHUO CHA TAIFA CHA UTALII

WAZIRI AAHIDI MABORESHO CHUO CHA TAIFA CHA UTALII

Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam kuhusu hatua za kuboresha chuo hicho. Bofya PICHA kusoma zaidi.

WANANCHI WATAKIWA KUTII SHERIA ZA UHIFADHI NCHINI

WANANCHI WATAKIWA KUTII SHERIA ZA UHIFADHI NCHINI

Naibu Waziri wa Maliasili, Eng. Ramo Makani akizungumza na wananchi waliovamia Msitu wa Hifadhi wa Biharamulo - Kahama Mkoani Geita hivi karibuni. Bofya PICHA kusoma zaidi.

SERIKALI YATOA UFAFANUZI KUHUSU KUWAONDOA WANANCHI KATIKA MAENEO YALIYOHIFADHIWA

SERIKALI YATOA UFAFANUZI KUHUSU KUWAONDOA WANANCHI KATIKA MAENEO YALIYOHIFADHIWA

Naibu Waziri wa Maliasili, Eng. Ramo Makani (katikati) akitoa ufafanuzi huo kwa waandishi wa habari tarehe 11 Oktoba, 2016 Makao Makuu wa Wizara hiyo. BOFYA PICHA KUSOMA ZAIDI.

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUTUNDIKA MIZINGA KITAIFA

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUTUNDIKA MIZINGA KITAIFA

Naibu Waziri wa Maliasili, Eng. Ramo Makani (kulia) na Mkuu wa Wilaya ya Kibaha, Asumpta Mshana wakizindua Maadhimisho hayo kwa kutundika mzinga jana. Kusoma zaidi BOFYA PICHA.

KAMPENI YA VITA DHIDI YA UJANGILI

KAMPENI YA VITA DHIDI YA UJANGILI

Naibu Waziri wa Maliasili, Eng. Ramo Makani (wa tatu kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Rafiki Wildlife Foundation ofisini kwake jana. KUSOMA HABARI KAMILI BOFYA PICHA.

WIZARA YAJIPANGA KUENDELEZA VIVUTIO VYA UTALII WA NDANI

WIZARA YAJIPANGA KUENDELEZA VIVUTIO VYA UTALII WA NDANI

Naibu Waziri Maliasili, Eng. Ramo Makani (kushoto) akizungumza na waandisi wa habari kuhusu mpango huo. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Angelina Madete. BOFYA PICHA KUSOMA HABARI.

Ministry

Welcome to MNRT

Ministry of Natural Resources and Tourism of United Republic of Tanzania, is the Ministry responsible for management of Natural, Cultural and Tourism resources. Tanzania has a great potential for natural resources, cultural and tourism attractions. In terms of wildlife, the present network of wildlife Protected Areas (PAs) in Tanzania is comprised of 14 National Parks, Ngorongoro Conservation Area, 38 Game Reserves and 43 Game Controlled Areas. The wildlife protected area network covers 233,300 Sq. Km (28%) of the total Tanzania's land surface area. Read more »

© 2016 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top