Raisi JK na familia wapewa kibali cha kudumu kutembelea hifadhi nchini

Raisi JK na familia wapewa kibali cha kudumu kutembelea hifadhi nchini

Raisi Kikwete akiwa na Mwanae wakiwa na mfano wa kibali (Cha Kudumu) walichopewa ikiwa ni zawadi ya kutembelea hifadhi nchini bure

Tanzania yapata Msaada wa Magari Maalumu  50  Ili  Kuongeza Nguvu Katika Mapambano Dhidi ya Ujangil

Tanzania yapata Msaada wa Magari Maalumu 50 Ili Kuongeza Nguvu Katika Mapambano Dhidi ya Ujangil

Haya ni baadhi ya magari maalumu yaliyotolewa na Serikali ya China yatakayotumika katika vita dhidi ya Ujangili nchini

Wizara ya Maliasili na Utalii yapokea Magari ya Kusaidia Vita Dhidi ya Ujangili.

Wizara ya Maliasili na Utalii yapokea Magari ya Kusaidia Vita Dhidi ya Ujangili.

Mhe. L. Nyalandu akikata utepe wakati wa kukabidhi magari aina ya Toyote L/Cruiser

Ujermani na Tanzania watia saini makubaliano ya kusimamia na kuendeleza Maliasili Nchini

Ujermani na Tanzania watia saini makubaliano ya kusimamia na kuendeleza Maliasili Nchini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili Dkt. Adelhem Meru ( kulia) na Naibu Mkurugenzi wa GIZ nchini Tanzania, Dkt. Sussane Grimm wakitia saini hati ya Makubaliano ya kusimamia na kuendeleza…

Mh. Nyalandu, Afungua mkutano wa uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji wa WAM’s

Mh. Nyalandu, Afungua mkutano wa uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji wa WAM’s

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, Afungua mkutano wa uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na uendeshaji Maeneo ya Jumuia ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania (WMA), ARUSHA

Mh. Nyalandu azindua kampeni za kupambana na Ujangili

Mh. Nyalandu azindua kampeni za kupambana na Ujangili

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazarao Nyalandu akizindua kampeni ya kupambana na Ujangili ijulikanayo ''UJANGILI UNATUUMIZA SOTE'' katika mkutano uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Maadhimisho ya Siku ya Kutundika Mizinga ya Nyuki Kitaifa

Maadhimisho ya Siku ya Kutundika Mizinga ya Nyuki Kitaifa

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania itaadhimisha siku ya kutundika Mizinga Kitaifa tar. 25 Machi katika Msitu wa Hifadhi Mtunguru uliopo kijiji…

Ministry

Welcome to MNRT

Ministry of Natural Resources and Tourism of United Republic of Tanzania, is the Ministry responsible for management of Natural, Cultural and Tourism resources. Tanzania has a great potential for natural resources, cultural and tourism attractions. In terms of wildlife, the present network of wildlife Protected Areas (PAs) in Tanzania is comprised of 14 National Parks, Ngorongoro Conservation Area, 38 Game Reserves and 43 Game Controlled Areas. The wildlife protected area network covers 233,300 Sq. Km (28%) of the total Tanzania's land surface area. Read more »

© 2015 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top