KATIBU MKUU MAJ. GEN. GAUDENCE MILANZI AONGOZA MKUTANO WA 23 CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI

KATIBU MKUU MAJ. GEN. GAUDENCE MILANZI AONGOZA MKUTANO WA 23 CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili, Maj. Gen. Gaudence Milanzi (katikati), Naibu Katibu Mkuu Angelina Madete (kulia) na Katibu wa Baraza la Wafanyakazi Wilfred Msemo..TAP CENTRE TO READ…

SERIKALI YA UJERUMANI YATOA MSAADA WA NDEGE KUUKABILI UJANGILI PORI LA AKIBA SELOUS

SERIKALI YA UJERUMANI YATOA MSAADA WA NDEGE KUUKABILI UJANGILI PORI LA AKIBA SELOUS

Waziri wa Ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo wa Serikali ya Ujerumani Dkt. Gerd Muller (wa pili kushoto) akimkabidhi Waziri wa Maliasili Prof. Jumanne Maghembe ndege hiyo

WAZIRI MAGHEMBE AWASIMAMISHA KAZI WATENDAJI TFS NA KAIMU MKURUGENZI IDARA YA WANYAMAPORI

WAZIRI MAGHEMBE AWASIMAMISHA KAZI WATENDAJI TFS NA KAIMU MKURUGENZI IDARA YA WANYAMAPORI

Waziri wa Maliasili Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawako pichnai) Jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Naibu Waziri Eng. Ramo Makani

WAZIRI WA MALIASILI AONANA NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI

WAZIRI WA MALIASILI AONANA NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI

Waziri wa Maliasili Prof. Jumanne Maghembe (kushoto) akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Mark Childress ofisini kwake kuzungumzia maendeleo ya sekta ya Maliasili nchini

WATUMISHI WAMUAGA MSTAAFU…

WATUMISHI WAMUAGA MSTAAFU…

Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Maliasili wakiwa kwenye picha ya pamoja na Afisa Uvuvi Mstaafu Bw. Chikambi Rumisha (wa pili kulia waliokaa) katika sherehe ya kumuaga

JAMII YAASWA KUTUMIA FURSA YA UFUGAJI WA NYUKI NA UPANDAJI WA MITI KIBIASHARA

JAMII YAASWA KUTUMIA FURSA YA UFUGAJI WA NYUKI NA UPANDAJI WA MITI KIBIASHARA

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Misitu na Nyuki Maliasili Bi. Gladyness Mkamba (katikati) akifungua Mkutano wa wadau wa Misitu na Nyuki. Kushoto ni Bw. Mikko Leppanen kutoka Ubalozi wa Finland.

Ministry

Welcome to MNRT

Ministry of Natural Resources and Tourism of United Republic of Tanzania, is the Ministry responsible for management of Natural, Cultural and Tourism resources. Tanzania has a great potential for natural resources, cultural and tourism attractions. In terms of wildlife, the present network of wildlife Protected Areas (PAs) in Tanzania is comprised of 14 National Parks, Ngorongoro Conservation Area, 38 Game Reserves and 43 Game Controlled Areas. The wildlife protected area network covers 233,300 Sq. Km (28%) of the total Tanzania's land surface area. Read more »

© 2016 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top