You Are Here: Home » Whats New

Whats New

04
Feb
2018

WAZIRI KIGWANGALLAH AWASHUKIA VIONGOZI WANAOTAKA KUFUTWA KWA HIFADHI

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Hamis Kigwangallah amesema kuwa hatajibu maombi yoyote yaliyowasilishwa ofisini kwake kutoka kwa Wakuu wa mikoa, Halmashauri pamoja na Wakuu wa wilaya ya kufuta maeneo ya Hifadhi ili maeneo hayo yaweze kutumika Kwa ajili ya matumizi mengine.
Read More

29
Jan
2018

SERIKALI YAUZA MENO YA VIBOKO KWA SH.30,900,000/= KATIKA MNADA

Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefanya mnada wa hadhara wa kuuza meno ya viboko vipande 12,467 yenye uzito wa kilo 3,580.29 katika ofisi ndogo ya Wizara ya Maliasili na Utalii katika Jengo la Mpingo, jijini Dar es Salaam Read More

26
Jan
2018

MAKUMBUSHO MPYA YA OLDUVAI YAWAFURAHISHA WABUNGE, NAIBU WAZIRI

Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kazi nzuri iliyofanya ya ujenzi wa jengo la makumbusho ya kisasa katika Bonde la Olduvai ya Gorge ambako ni chimbuko la historia ya Binadamu Read More

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top