You Are Here: Home » Whats New » Wafanyakazi Maliasili Na Utalii Waungana Na Wenzao Duniani Kusheherekea Mei Mosi

Wafanyakazi Maliasili Na Utalii Waungana Na Wenzao Duniani Kusheherekea Mei Mosi

Wafanyakazi Maliasili Na Utalii Waungana Na Wenzao Duniani Kusheherekea Mei MosiWafanyakazi wa wizara ya maliasili wakiwa katika maandamano ya Mei Mosi

Wafanyakazi wa Wizara ya Maliasili na Utalii waungana na Wafanyakazi wenzao kusherekea siku ya Wafanyakazi Duniani ( Mei Mosi) wakati Mhe. Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika sherehe hiyo katika Uwanja wa Uhuru DareS salaam.

Katika Maadhimisho hayo kabla ya Rais kulihutubia taifa alipokea Maandamano ya Wafanyakazi yaliyoanzia Viwanja vya Mnazi Mmoja saa 1.00 asubuhi.

Maadhimisho ya Mwaka huu yenye kauli Mbiu ya ‘’Utawala Bora Utumike Kutatua Kero za Wafanyakazi’’ yametoa fursa kwa Wafanyakazi wa Maliasili na Utalii kujumuika na Wafanyakazi wenzao duniani katika kuadhimisha siku hii.

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top