You Are Here: Home » Whats New » Tangazo la Mnada wa Miti ya Misaji, Agosti 2014

Tangazo la Mnada wa Miti ya Misaji, Agosti 2014

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza miti aina ya misaji katika mashamba ya Miti ya Mtibwa, Rondo na Longuza siku ya tarehe 25/08/2014 kuanzia saa tatu kamili asubuhi. Mchanganuo wa mnada huo ni kama ilivyopangwa katika utaratibu ufuatao hapa chini;

  1. Tangazo la Mnada wa Misaji - Mtibwa (Bofya Hapa!)
  2. Tangazo la Mnada wa Misaji - Longuza (Bofya Hapa!)
  3. Tangazo la Mnada wa Misaji - Rondo (Bofya Hapa!)

For English Version Advertsment, visit the following links below;

  1. Longuza Teak Auction (Click Here!)
  2. Mtibwa Teak Auction (Click Here!)
  3. Rondo Teak Auction (Click Here!)

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top