TAARIFA YA SIKU KUMI NA NNE (14) KUONDOKA NA KUACHA SHUGHULI ZOTE ZA KIBINADAMU ZINAZOFANYIKA NDANI
2. MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) ANAWATAARIFU NA KUWATANGAZIA WATU WOTE WALIOVAMIA MSITU WA HIFADHI WA BIHARAMULO KWA KUISHI NA KUFANYA SHUGHULI ZOZOTE ZA KIBINADAMU, KUWA SHUGHULI WANAZOZIFANYA NDANI YA MSITU HUO NI KINYUME CHA SHERIA YA MSITU NAMBA 14 YA MWAKA 2002 (FOREST ACT NO. 323 (RE: 2002).