You Are Here: Home » Whats New

Whats New

10
Sep
2018

SERIKALIYAZIDI KUSISITIZA WANANCHI KUHESHIMU MIPAKA YA MSITU WA KAZIMZUMBW

Serikali imewataka wananchi wanaoishi kuzunguka Hifadhi ya Msitu wa Kazimzumbwi waliokuwa wamefungua kesi na baadaye kushindwa waendelee kuheshimu mipaka ya Msitu huo huku Chama cha Mapinduzi kikiangangalia namna bora ya kuwasaidia Read More

06
Sep
2018

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAPOKEA VITENDEA KAZI KUTOKA USAID

WIZARA ya Maliasili na Utalii imepokea vifaa mbalimbali vya mawasiliano vyenye thamani ya shilingi milioni 34,936,400 kutoka Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani kupitia mradi wa USAID PROTECT ili kusaidia katika kukuza uelewa wa wananchi kuhusu uhifadhi endelevu wa Maliasili,… Read More

© 2019 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top