You Are Here: Home » Whats New

Whats New

30
Aug
2018

RAIS, MHE. JOHN POMBE MAGUFULI, MGENI RASMI KWENYE UZINDUZI WA TAMASHA LA URITHI FESTIVAL DO

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli, anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye Tamasha la Mwezi wa Urithi linalotambulika kama Urithi Festival, Celebrating Our Heritage litakalozinduliwa rasmi kitaifa katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Septemba 15, 2018 Read More

29
Aug
2018

SERIKALI YAAGIZWA KUTAIFISHA MIFUGO ITAKAYOKUTWA KWENYE HIFADHI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Japhet Hasunga amewatahadhalisha wafugaji ambao ng'ombe zao ziliondolewa katika Mapori matano ya Akiba yaliyopandishwa hadhi na kuwa Hifadhi za Taifa na baadala yake wafugaji hao hao wameamua kuingiza ng'ombe hao katika misitu ya Hifadhi ya… Read More

29
Aug
2018

TANAPA YATENGA   3.9 BILIONI KUENDELEZA MAPORI YA AKIBA YALIYOPANDISHWA HADHI

Bodi ya Wadhamini ya Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA) imeidhinisha na kuruhusu matumizi ya bajeti ya mpito ya kiasi cha shilingi 3.9 bilioni zitumike kwa ajili ya kuimarisha na kuendeleza uhifadhi, uendelezaji utalii pamoja na ujenzi wa miundombinu katika Mapori ya Akiba matano… Read More

20
Aug
2018

WATUMISHI WA SERIKALI WAHIMIZWA KUTEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII

Mkurugenzi wa Utawala na Raslimali Watu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Lusius Mwenda ametoa wito kwa watumishi wa Serikali kuwa mstari wa mbele kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini kwa ajili ya kujifunza mambo mapya ikiwa pamoja na kupumzisha akili. Read More

16
Aug
2018

HALI YA WAZIRI KIGWANGALLA YAZIDI KUIMARIKA

Hali ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla yazidi kuimarika na anandelea vizuri baada ya kufanyiwa upasuaji mkubwa wa mkono wake wa kushoto. Read More

http://www.mnrt.go.tz/uploads/MOI.jpg MOI
16
Aug
2018

NAIBU WAZIRI MHE.HASUNGA AWATULIZA WAKAZI WA ULANGA

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga amewasihi wananchi wa vijiiji vya Iputi na Katekate wilayani Ulanga mkoani Morogoro wawe wavumilivu wakati wanasubili wataalamu kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi kutoka ofisi ya Mkurugenzi wa ramani kuja kusoma… Read More

16
Aug
2018

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII,MHE.HASUNGA ATAKA USHIRIKISHWAJI KWENYE UHIFADHI

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga amewaagiza Watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii pamoja na Taasisi zake kuwashirikisha viongozi wa mikoa na wa wilaya wakati wanapokwenda katika maeneo yao kwa ajili ya kushughulikia migogoro ardhi kati ya Hifadhi na wananchi.Read More

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top