You Are Here: Home » Whats New

News and Events

02
Oct
2015

Makamu wa Rais, Dkt. Bilal Afungua Maonesho ya Kimataifa ya Swahili International Tourism Expo

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. Mohammed Gharib Bilal, amesema kuwa Maonesho ya Kimataifa ya Utalii yajulikanayo kama ‘’Swahili International Tourism Expo (S!TE)’’ yamekuwa na mchango mkubwa sana katika kutangaza fursa zinazopatikana nchini hasa vivutio… Read More

01
Oct
2015

Serikali Yakanusha Kuhusu Utoroshaji wa Wanyamapori Katika Pori la Loliondo

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imekanusha uzushi uliosambaa kwenye Mitandao ya Kijamii kuhusu utoroshwaji wa nyara za Taifa.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, makao makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii, Mpingo House, jijini Dar es Salaam,… Read More

22
Sep
2015

Uteuzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA)

Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuujulisha umma kuwa, Bodi mpya ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tanzania Wildlife Authority -TAWA), imeteuliwa rasmi kuanzia tarehe 09 mwezi Septemba, 2015. Read More

TAARIFA_TAWA
17
Sep
2015

Kuwasilisha Maombi ya Leseni ya Biashara ya Nyara Kwa Mwaka 2016

Wizara ya Maliasili na Utalii inawajulisha wananchi wanaotaka kufanya biashara ya nyara kuwasilisha maombi yao kwa Maafisa Wanyamapori wa Wilaya ambao watawapatia fomu za maombi. Read More

TAARIFA_KWA_UMMA_TANGAZO_LA_KUWASILISHA_MAOMBI_YA_LESENI_ZA_TDL_2015
11
Sep
2015

Bi. Flaviana Matata Ateuliwa Kuwa Balozi wa Kutangaza Utalii wa Tanzania Nje ya Nchi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Adelhelm Meru na Waziri mwenye dhamana wamemteua Bi. Flaviana Matata ambaye ni mwanamitindo mzawa anayefanya kazi zake nchini Marekani kuwa Balozi wa kutangaza vivutio vya Utalii wa Tanzania nchini Marekani.
Akizungumza kwenye… Read More

09
Sep
2015

REQUEST FOR EXPRESSION OF INTEREST.

Request for expression of interest on consultancy services for the formulation of the strategic direction and National Tourism plan for the Republic of Tanzania. Read More

Request_for_expression_of_interest_Tourism-1_

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top