You Are Here: Home » Whats New

News and Events

01
Oct
2014

Maadhimisho ya Siku ya Mara

Maadhimisho ya Siku ya Mara, ufanyika kila mwaka , tarehe 15 Septemba kwa kupokezana maandalizi kati ya nchi ya Tanzania na Kenya, ni uamuzi wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Kisekta la Bonde la Ziwa Victoria uliofanyika tarehe 4 Mei, 2012 huko Kigali, Rwanda. Read More

maadhimisho_ya_siku_ya_mara
22
Sep
2014

Tangazo la Uuzaji wa Miti ya Misaji kwa Njia ya Makubaliano Maalum

Tangazo la Uuzaji wa Miti ya Misaji kwa Njia a Makubaliano Maalum (Private Agreement) Katika Mashamba ya Miti Longuza, Mtibwa na Rondo. Read More

TANGAZO_LA_UUZAJI_WA_MITI
08
Aug
2014

Tangazo la Mnada wa Miti ya Misaji, Agosti 2014

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza miti aina ya misaji katika mashamba ya Miti ya Mtibwa, Rondo na Longuza siku ya tarehe 25/08/2014 kuanzia saa tatu kamili asubuhi. Mchanganuo wa mnada huo ni kama ilivyopangwa katika utaratibu ufuatao hapa chini; Read More

28
Jul
2014

Investment Opportunities in Tanzania

Tanzania offers a wide range of investment opportunities in natural and cultural tourist attractions. The country is internationally renowned for its abundance of wildlife resources, cultural heritage resources, forest resources, unexploited beaches and marine resources. Tanzania… Read More

Download_File_Here!
15
Jul
2014

Majina ya Waliopata Idhini ya Kuvuna Miti Katika Mashamba Ya Wakala kwa Mwaka 2014/2015

Wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) imetoa idhini kwa waombaji wafuatao kuweza kupata mgao wa miti katika baadhi ya mashamba ambayo yanamilikiwa na wakala kwa mwaka 2014/2015 Read More

08
Jul
2014

Majina ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na chuo cha misitu Olmotonyi

Mkuu wa Chuo cha Misitu Olmotonyi, Arusha anayo furaha kuwataarifu wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na Chuo cha Misitu Olmotonyi, Arusha kwa udhamini wa binafsi, Wakala wa Huduma za Misitu na Mradi wa ECOPRC kwa mafunzo ya Astashahada na Stashahda za Misitu kwa mwaka wa masomo… Read More

Majina_ya_waliochaguliwa_Kujiunga_na_chuo_2014-15_
07
Jun
2014

Maonyesho ya Utalii - Karibu Travel Market yafana Jijini Arusha.

Wizara ya Maliasili na Utalii imeungana na wadau mbalimbali wa sekta ya utalii jijini Arusha katika maonyesho ya 15 ya utalii maarufu kama Karibu Travel Market (KTM). Maonyesho haya ya siku tatu 6-8 Juni yanalenga kukuza fursa za utalii zilizopo nchini pamoja na nchi za Jumuiya ya… Read More

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top