News and Events
Mar
2015
Uingereza yatoa Sh. Bilioni 27 Kupamabana na Ujangili.
Serikali ya Uingereza imetioa dola milioni 15 (sawa n ash. Bilioni 27), ikiwa ni sehemu mchango wa kukabiliana na vitendo vya ujangili na mauaji ya wanyamapori nchini.
Mchango huo ni kuunga jitihada zinazofanywa na Serikali ya Tanzania katika kuokoa maisha ya wanyamapori katika… Read More
Feb
2015
Nyalandu : Kwanini Sijasaini Tozo Mpya za Hoteli za Kitalii.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu, amesema kwamba hawezi kusaini tozo zilizoidhinishwa kutokana na kutoorodheshwa kwa hoteli 30 kati ya 57 ndani ya hifadhi za taifa, ukadiriaji usiozingatia haki wa ukokotoaji wa tozo ni mojawapo ya masuala ya msingi yaliyomfanya… Read More
Oct
2014
Mabalozi Wasifu Juhudi za Tanzania Katika Kukuza Utalii na Vita Dhidi ya Ujangili
Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Bw. Egon Konchanke, ameipongeza Tanzania kwa juhudi zake katika suala zima la kupambana na ujangili wa Wanyamapori hususan mauaji ya Tembo.
Balozi Konchanke, alitoa pongezi hizo jana alipomtembelea Waziri wa Maliasili na Utalli Mhe.… Read More
Oct
2014
Regional Summit To stop Wildlife Crime and Advance Wildlife Conservation
Regional Summit
To stop Wildlife Crime and Advance Wildlife Conservation
AICC Arusha 7-8 November 2014
Concept Note
Background
Tanzania and the region is blessed with the richest biodiversity and natural resources in the continent. It is home… Read More
Oct
2014
Maadhimisho ya Siku ya Mara
Maadhimisho ya Siku ya Mara, ufanyika kila mwaka , tarehe 15 Septemba kwa kupokezana maandalizi kati ya nchi ya Tanzania na Kenya, ni uamuzi wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Kisekta la Bonde la Ziwa Victoria uliofanyika tarehe 4 Mei, 2012 huko Kigali, Rwanda. Read More

Sep
2014
Tangazo la Uuzaji wa Miti ya Misaji kwa Njia ya Makubaliano Maalum
Tangazo la Uuzaji wa Miti ya Misaji kwa Njia a Makubaliano Maalum (Private Agreement) Katika Mashamba ya Miti Longuza, Mtibwa na Rondo. Read More

Aug
2014
Tangazo la Mnada wa Miti ya Misaji, Agosti 2014

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza miti aina ya misaji katika mashamba ya Miti ya Mtibwa, Rondo na Longuza siku ya tarehe 25/08/2014 kuanzia saa tatu kamili asubuhi. Mchanganuo wa mnada huo ni kama ilivyopangwa katika utaratibu ufuatao hapa chini; Read More