You Are Here: Home » Whats New

News and Events

17
Jul
2015

Wizara ya Maliasili na Utalii yapokea Magari ya Kusaidia Vita Dhidi ya Ujangili.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu leo amekabidhi magari matatu aina ya Toyota Landcruiser kwa Idara ya Wanyamapori ikiwa ni msaada kutoka kwa The Howard Buffet Foundation ya Marekani. Mhe. L. Nyalandu alisema Serikali inaendeleza jitihada za kuhakikisha Idara ya Wanyamapori… Read More

09
Jul
2015

Ujerumani yatia Saini Hati ya Makubaliano na Serikali ya Tanzania Katika Kusimamia maliasili

Serikali ya Ujerumani kupitia Shirika la Miradi la Ujerumani la GIZ la nchini Tanzania imetia saini hati ya makubaliano na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii katika kuendeleza na kusimamia Maliasili zilizopo nchini.

Hati hiyo ya Makubaliano imesainiwa… Read More

09
Apr
2015

Maadhimisho ya Siku ya Kutundika Mizinga ya Nyuki Kitaifa

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania itaadhimisha siku ya kutundika Mizinga Kitaifa tarehe 25 Machi katika Msitu wa Hifadhi Mtunguru uliopo kijiji cha Bogolwa, Wilayani Handeni, Mkoani Tanga.

Mgeni Rasmi katika shughuli hiyo ni Mkuu… Read More

30
Mar
2015

Mh.Nyalandu atia Saini Hati ya Uanzishwaji wa Jumuiya Za Wanyamapori.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe .Lazaro Nyalandu ( katikati) akisaini hati  ya kuanzishwa kwa jumuiya za wanyamapori

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe .Lazaro Nyalandu ametia saini ya kuanzishwa kwa jumuiya za wanyamapori za Waga na Umemaruwa ikiwa ni ushirikishwaji wa jamii katika kulinda na kuhifadhi wanyamapori.
Hafla hiyo ya utiaji saini ilifanyika hivi karibuni Mpingo House jijin Dar… Read More

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top