You Are Here: Home » Whats New

Whats New

11
Jul
2018

RAIS MSTAAFU MWINYI AIFAGILIA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII MAONESHO YA SABASABA

Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi ameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa juhudi inazozifanya za kuelimisha jamii kuhusu uhifadhi wa Maliasili, Malikale na Uendekezaji Utalii. Read More

11
Jul
2018

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AWASHAURI ATCL

Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda amelishauri Shirika la ndege la Tanzania ( ATCL) kufanya kazi kwa pamoja na Bodi ya Taifa ya Utalii (TTB) kwa lengo la kuongeza idadi ya watalii wanaokuja nchini kwa shughuli za utalii.

Read More

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top