You Are Here: Home » Whats New

Whats New

30
Dec
2015

SERIKALI KUANZISHA PROGRAMU YA KITAIFA YA UPANDAJI MITI

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii, Tamisemi na Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano inategemea kuanzisha programu ya pamoja wa upandaji miti nchini kwa ajili ya uhifadhi na undelezaji wa mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Read More

30
Dec
2015

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PROF. JUMANNE MAGHEMBE AKABIDHIWA OFISI RASMI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Waziri kabla yake Mhe. Lazaro Nyalandu, Makabidhiano hayo yamefanyika leo Makao Mkuu ya Wizara hiyo, Mpingo House jijini Dar es Salaam.

Katika makabidhiano hayo Mhe. Nyalandu amekabidhi… Read More

17
Dec
2015

TAARIFA YA SIKU KUMI NA NNE (14) KUONDOKA NA KUACHA SHUGHULI ZOTE ZA KIBINADAMU ZINAZOFANYIKA NDANI

2. MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) ANAWATAARIFU NA KUWATANGAZIA WATU WOTE WALIOVAMIA MSITU WA HIFADHI WA BIHARAMULO KWA KUISHI NA KUFANYA SHUGHULI ZOZOTE ZA KIBINADAMU, KUWA SHUGHULI WANAZOZIFANYA NDANI YA MSITU HUO NI KINYUME CHA SHERIA YA MSITU NAMBA 14… Read More

TANGAZO_LA_KUWAONDOA_WAVAMIZI_MSITU_WA_BIHARAMULO
17
Dec
2015

TAARIFA YA SIKU SABA (7) KUONDOKA NA KUACHA SHUGHULI ZOTE ZA KIBINADAMU ZINAZOFANYIKA NDANI YA MSITU

2. MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) KWA KUSHIRIKIANA NA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA MANISPAA YA MOROGORO ANAWATAARIFU NA KUWATANGAZIA WATU WOTE WALIOVAMIA MSITU WA HIFADHI WA MOROGORO NA KUISHI NA KUFANYA SHUGHULI ZOZOTE ZA KIBINADAMU, KUWA SHUGHULI WANAZOZIFANYA… Read More

TANGAZO_LA_KUWAONDOA_WAVAMIZI_MANISPAA_MOROGORO
10
Dec
2015

NOTICE TO ALL TOURISM BUSINESS OPERATORS ON PREPARATIONS FOR 2016 TOURISM BUSINESS LICENSES

Kindly be informed that applications for new Tourism Business Licenses and renewal of existing tourism licenses for the year 2016 will be open from 1st December to 15th December 2015 Read More

MATANGAZO_1

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top