You Are Here: Home » Whats New

Whats New

01
Mar
2014

Mh Waziri Lazaro Nyalandu alipo zindua magari yalionunuliwa kwa ajili ya kupambana na Ujangili

Mh Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu alipo zindua magari yalionunuliwa kwa ajili ya kupambana na Ujangili Read More

27
Jan
2014

Dkt. Mohammed Gharib Bilal ateta na waziri wa Utalii na Maliasili

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyarandu na Naibu wake, Mohamed Mgimwa, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jan… Read More

27
Dec
2013

11 Facts About Poaching Animals

Animal poaching is when an animal is killed illegally. It usually occurs when an animal possesses something that is considered valuable (i.e. the animal’s fur or ivory). Read More

27
Nov
2013

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii atembelea Hifadhi ya Rabanda

Serikali imeshangazwa na hatua ya wageni kuwavamia mbuga mbalimbali na misitu nchini kiasi cha kufanya kuongezeka vitendo vya ujangili na kuahidi kuchukua hatua kali ili kutokomeza ujangili huo. Read More

26
Oct
2013

Mchango wa Uhifadhi Katika Kukuza Uchumi wa Nchi na Umuhimu wa Wananchi Kushiriki Kuzuia Ujangili

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara ya Wanyamapori ina dhamana ya kuhifadhi rasilimali ya wanyamapori nchini. Ili kutekeleza uhifadhi huo, Tanzania imetenga maeneo ya uhifadhi yenye ukubwa wa takriban asilimia 28 ya nchi kavu ya Tanzania Bara. Maeneo hayo yanajumuisha; Hifadhi… Read More

26
Sep
2013

The government has called on Tanzanians to expose all poachers

The government has called on Tanzanians to expose all poachers engaged in killings of wild animals especially elephants whose decimation was on the increase. Read More

03
Sep
2013

Kisiwa Cha Saanane Chatangazwa Rasmi Hifadhi ya Taifa

Kisiwa cha Saanane kimetangazwa rasmi kuwa Hifadhi ya Taifa kufuatia Tangazo la Serikali Namba 227 lililotolewa hivi karibuni. Read More

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top