You Are Here: Home » Whats New

Whats New

29
Jan
2018

SERIKALI YAUZA MENO YA VIBOKO KWA SH.30,900,000/= KATIKA MNADA

Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefanya mnada wa hadhara wa kuuza meno ya viboko vipande 12,467 yenye uzito wa kilo 3,580.29 katika ofisi ndogo ya Wizara ya Maliasili na Utalii katika Jengo la Mpingo, jijini Dar es Salaam Read More

26
Jan
2018

MAKUMBUSHO MPYA YA OLDUVAI YAWAFURAHISHA WABUNGE, NAIBU WAZIRI

Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kazi nzuri iliyofanya ya ujenzi wa jengo la makumbusho ya kisasa katika Bonde la Olduvai ya Gorge ambako ni chimbuko la historia ya Binadamu Read More

09
Nov
2017

SERIKALI YASAINI MKATABA WA SHILINGI BILIONI 330 ZA KUENDELEZA UTALII KUSINI MWA TANZANIA

Serikali imesaini mkataba wa mkopo wa masharti nafuu wa dola za marekani milioni 150 sawa na shilingi bilioni 330 kutoka Benki ya Dunia kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa ajili ya kutekeleza mradi mkubwa wa kuendeleza utalii kwa vivutio vilivyo katika ukanda wa kusini mwa Tanzania. Read More

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top