You Are Here: Home » Whats New

Whats New

20
Aug
2017

UTAFITI WA KUGEMA UTOMVU WA KUTENGENEZEA BAZOKA (CHEWING GUM)  NA GEL WAANZA SAO HILL

Shamba la miti la Sao Hill likishirikiana na Kampuni ya Art International limeanza utafiti wa kugema utomvu wa miti ya msindano kama njia ya kujiongezea kipato.

Read More

19
Aug
2017

SHEHENA YA MENO YA TEMBO YAKAMATWA MBEZI BEACH

Waziri wa Maliasli na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe amesema serikali imefanikiwa kukamata jumla ya meno ya tembo 28 katika ghala moja lililopo Mbezi Beach jijini Dar es salaam, yenye uzito wa takribani kilo 376 Read More

19
Aug
2017

UTALII WA KIUTAMADUNI WAPIGIWA CHAPUO MKOANI KIGOMA

Katibu tawala wa mkoa wa Kigoma, Charles Pallangyo amewataka wadau wa utalii kuchangamkia fursa za utalii hasa utalii wa Kiutamaduni kwa kuwa ni utalii usio na gharama katika kuuanzisha Read More

07
Aug
2017

WADAU WA SHAMBA LA MITI LA SAO HILL WAMPONGEZA WAZIRI MAGHEMBE

Wadau wa Shamba la miti la Sao Hill wamempongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe kwa utaratibu mzuri wa ugawaji wa malighafi ya miti kwa kuwa umesaidia kuwaondoa madalali waliokuwa wanapewa mgawo na kisha wao kuwauzia wenye viwanda kwa bei ya juu Read More

04
Aug
2017

PUBLIC DISCLOSURE OF REGROW PROJECT SAFE-GUARD DOCUMENTS

1. The Government of Tanzania (GoT), through the Ministry of Natural Resources and Tourism (MNRT), has an intention of receiving funding from the International Development Association (IDA), housed by the World Bank (WB) in the form of a loan to finance the cost of a Resilient Natural… Read More

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top