You Are Here: Home » Whats New

Whats New

15
Jul
2014

Majina ya Waliopata Idhini ya Kuvuna Miti Katika Mashamba Ya Wakala kwa Mwaka 2014/2015

Wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) imetoa idhini kwa waombaji wafuatao kuweza kupata mgao wa miti katika baadhi ya mashamba ambayo yanamilikiwa na wakala kwa mwaka 2014/2015 Read More

08
Jul
2014

Majina ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na chuo cha misitu Olmotonyi

Mkuu wa Chuo cha Misitu Olmotonyi, Arusha anayo furaha kuwataarifu wafuatao kuwa wamechaguliwa kujiunga na Chuo cha Misitu Olmotonyi, Arusha kwa udhamini wa binafsi, Wakala wa Huduma za Misitu na Mradi wa ECOPRC kwa mafunzo ya Astashahada na Stashahda za Misitu kwa mwaka wa masomo… Read More

Majina_ya_waliochaguliwa_Kujiunga_na_chuo_2014-15_
07
Jun
2014

Maonyesho ya Utalii - Karibu Travel Market yafana Jijini Arusha.

Wizara ya Maliasili na Utalii imeungana na wadau mbalimbali wa sekta ya utalii jijini Arusha katika maonyesho ya 15 ya utalii maarufu kama Karibu Travel Market (KTM). Maonyesho haya ya siku tatu 6-8 Juni yanalenga kukuza fursa za utalii zilizopo nchini pamoja na nchi za Jumuiya ya… Read More

27
May
2014

Waziri Nyalandu Aipongeza KLM kwa Kukuza Utalii Nchini

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amelipongeza shirika la ndege la KLM kwa mchango wao mkubwa wa kusaidia Tanzania katika kukuza utalii tangu kuanzishwa kwake mwaka 1969. Aliyasema hayo jana wakati wa maadhimisho ya miaka 45 ya Shirika la ndege la KLM yaliyofanyika jijini… Read More

13
May
2014

Hotuba ya budget ya wizara ya Maliasili na utalii 2014/2015

Hotuba ya waziri wa maliasili na utalii mheshimiwa lazaro samuel nyalandu (mb),akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/201 Read More

MNRT_budget
11
May
2014

Mantra Tanzania Commits to Combat Elephant Poaching.

Ministry of Natural Resources and Tourism and Mantra Tanzania Limited yesterday signed a formal Memorandum of Understanding ( MOU) which calls both sides to closely coordinate and cooperate to combat illegal elephant poaching in the Southern Selous Game Reserve. Read More

09
May
2014

Serikali Kuanzisha Mfumo Mpya Wa Kuwalinda Wanyamapori

Wadau wa uhifadhi wa kitaifa na kimataifa wamekutana jijini Dar es Salaam na kujadili jinsi ya kuwezesha mfumo mpya utakaowezasha kulinda wanyamapori.
Akifungua mkutano huo jijini hapa leo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu… Read More

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top