You Are Here: Home » Whats New

Whats New

06
Jul
2015

Waziri Nyalandu alizindua Mkakati wa Utekelezaji wa Jumuiya za Hifadhi ya Wanyamapori ya Jamii “WMA’

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu alizindua Mkakati wa Utekelezaji wa Jumuiya za Hifadhi ya Wanyamapori ya Jamii (WMA's) kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Naura Springs, Arusha,tarehe 2/7/2015. Mkutano huo ulihudhuriwa na wawakilishi kutoka Wizara ya Maliasili,… Read More

18
Jun
2015

Waziri Nyalandu Azindua Kampeni Mpya Dhidi ya Ujangili

Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mark Childress akizungumza katika uzinduzi huo

Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Asasi ya Kimataifa ya WildAid na African wildlife Foundation wamezindua kampeni mpya ya kuongeza ufahamu na kuelimisha jamii kuhusu tatizo la ujangili nchini.

Akizungumza jijini Dares Salaam, Mhe. Nyalandu alisema kuwa… Read More

10
Apr
2015

Tanzania Yalaani Tukio la Ugaidi Nchini Kenya

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imelaani vikali shambulio la kigaidi lilitokea katika Chuo Kikuu cha Garissa nchini Kenya na kusababisha vifo vya wanafunzi zaidi ya 150 pamoja na majeruhi .

Akiongea jana jijini Dar es Salaam, wakati wa ufunguzi… Read More

09
Apr
2015

Maadhimisho ya Siku ya Kutundika Mizinga ya Nyuki Kitaifa

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania itaadhimisha siku ya kutundika Mizinga Kitaifa tarehe 25 Machi katika Msitu wa Hifadhi Mtunguru uliopo kijiji cha Bogolwa, Wilayani Handeni, Mkoani Tanga.

Mgeni Rasmi katika shughuli hiyo ni Mkuu… Read More

© 2019 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top