You Are Here: Home » Whats New

Whats New

13
Oct
2018

SERIKALI YAJIPANGA KUIMARISHA UTALII WA FUKWE

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Kassim Majaliwa amesema Serikali itajizatiti kuboresha fukwe ili ziweze kuwa vivutio vya utalii nchini kwa lengo la kuongeza mapato yatokanayo na sekta ya Utalii.


Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Oktoba 12, 2018) wakati… Read More

05
Oct
2018

WAZIRI MKUU ATEMBELEA ENEO UTAKAPOJENGWA MRADI WA KUZALISHA UMEME WA STIEGLER’S GORGE

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema kukamilika kwa mradi wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya mto Rufiji - Stiegler's Gorge kutasaidia kukuza utalii katika Pori la Akiba la Selous Read More

27
Sep
2018

MJUKUU WA MALKIA WA UINGEREZA PRINCE WILLIAM AWASILI TANZANIA

MJUKUU wa Malkia wa Uingereza, Prnce William ametua Nchini Tanzania jioni ya leo Septemba 26, 2018 kwa ziara maalum ya siku tatu ambapo kesho Septemba 27, anatarajiwa kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano Ikulu ya Magogoni Jijini Dar es Salaam Read More

25
Sep
2018

KATIBU MKUU ASTAAFU,  AWAASA WATUMISHI KUFANYA KAZI KWA WELEDI NA NIDHAMU

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Meja Jenerali Gaudence Milanzi ametoa rai hiyo leo alipokuwa akiwaaga watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii kufuatia kustaafu kwake rasmi Jeshini na kwa mujibu wa sheria kama Katibu Mkuu mnamo tarehe 16 Septemba mwaka huu na kuwataka… Read More

© 2019 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top