You Are Here: Home » Whats New

Whats New

13
Feb
2015

MGIMWA : VITA VYA DHIDI YA UJANGILI NI YETU SOTE

Naibu Waziri waWizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Mahmoud Mgimwa amesema kuwa vita dhidi ya ujangili ni vya jamii nzima, wadau na asasi zisizo za kiserikali zisikae pembeni zikidhani Serikali pekee ndio yenye jukumu la kuhakikisha Wanyamapori wanalindwa na kuendelezwa kwa ajili ya… Read More

10
Feb
2015

Nyalandu : Kwanini Sijasaini Tozo Mpya za Hoteli za Kitalii.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Lazaro Nyalandu, amesema kwamba hawezi kusaini tozo zilizoidhinishwa kutokana na kutoorodheshwa kwa hoteli 30 kati ya 57 ndani ya hifadhi za taifa, ukadiriaji usiozingatia haki wa ukokotoaji wa tozo ni mojawapo ya masuala ya msingi yaliyomfanya… Read More

02
Feb
2015

SERIKALI YA TANZANIA KUSHIRIKIANA NA SEKTA BINAFSI KUBORESHA MIUNDOMBINU YA UTALII

Raisi Mstaafu  Benjamin Mkapa akichangia mada

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara tya Maliasili na Utalii imeahidi kushirikiana na sekta Binafsi katika kuboresha miundombinu ya Utalii kwa nia ya kuwavutia Watalii wengi zaidi kutembelea vivutio vya Utalii nchini .

Miundombinu ya Utalii kama vile barabara bado ni tatizo… Read More

05
Dec
2014

Nyalandu launched hot springs boardwalk way and hippo pool viewpoint in Lake Manyara

Director General of TANAPA Allan Kijazi giving out welcoming remarks during the official launching

Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu has commended a remarkable initiative by Tanzania National Parks in introducing new tourism products at Lake Manyara National Park. Nyalandu said this during the official launching of the hot springs boardwalk way and… Read More

04
Nov
2014

Wizara ya Maliasili na Utalii Kushirikiana na Viongozi wa Dini Kwenye Vita Dhidi ya Ujangili

Mhe. Lazaro Nyalandu wakiwa katika picha ya pamoja na Shekhe wa Dar es Salaam Alhadi Musa Salumu baada ya Mkutano

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA DINI KWENYE VITA DHIDI YA UJANGILI
Waziri wa Maliasili na Utalii imeanza kushirikiana na viongozi wa dini nchini katika kuhakikisha kuwa ujangili wa Wanyamapori , biashara ya meno ya tembo na usafirishaji haramu wa wanyamapori… Read More

27
Oct
2014

Mabalozi Wasifu Juhudi za Tanzania Katika Kukuza Utalii na Vita Dhidi ya Ujangili

Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Bw. Egon Konchanke, ameipongeza Tanzania kwa juhudi zake katika suala zima la kupambana na ujangili wa Wanyamapori hususan mauaji ya Tembo.

Balozi Konchanke, alitoa pongezi hizo jana alipomtembelea Waziri wa Maliasili na Utalli Mhe.… Read More

23
Oct
2014

Regional Summit To stop Wildlife Crime and Advance Wildlife Conservation

Regional Summit
To stop Wildlife Crime and Advance Wildlife Conservation
AICC Arusha 7-8 November 2014
Concept Note

Background
Tanzania and the region is blessed with the richest biodiversity and natural resources in the continent. It is home… Read More

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top