You Are Here: Home » Whats New

Whats New

05
Dec
2014

Nyalandu launched hot springs boardwalk way and hippo pool viewpoint in Lake Manyara

Director General of TANAPA Allan Kijazi giving out welcoming remarks during the official launching

Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu has commended a remarkable initiative by Tanzania National Parks in introducing new tourism products at Lake Manyara National Park. Nyalandu said this during the official launching of the hot springs boardwalk way and… Read More

04
Nov
2014

Wizara ya Maliasili na Utalii Kushirikiana na Viongozi wa Dini Kwenye Vita Dhidi ya Ujangili

Mhe. Lazaro Nyalandu wakiwa katika picha ya pamoja na Shekhe wa Dar es Salaam Alhadi Musa Salumu baada ya Mkutano

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUSHIRIKIANA NA VIONGOZI WA DINI KWENYE VITA DHIDI YA UJANGILI
Waziri wa Maliasili na Utalii imeanza kushirikiana na viongozi wa dini nchini katika kuhakikisha kuwa ujangili wa Wanyamapori , biashara ya meno ya tembo na usafirishaji haramu wa wanyamapori… Read More

27
Oct
2014

Mabalozi Wasifu Juhudi za Tanzania Katika Kukuza Utalii na Vita Dhidi ya Ujangili

Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Bw. Egon Konchanke, ameipongeza Tanzania kwa juhudi zake katika suala zima la kupambana na ujangili wa Wanyamapori hususan mauaji ya Tembo.

Balozi Konchanke, alitoa pongezi hizo jana alipomtembelea Waziri wa Maliasili na Utalli Mhe.… Read More

23
Oct
2014

Regional Summit To stop Wildlife Crime and Advance Wildlife Conservation

Regional Summit
To stop Wildlife Crime and Advance Wildlife Conservation
AICC Arusha 7-8 November 2014
Concept Note

Background
Tanzania and the region is blessed with the richest biodiversity and natural resources in the continent. It is home… Read More

10
Oct
2014

Vyombo vya Habari vya Kimagharibi ni Kikwazo cha Kukuza Utalii Barani Afrika

Rais Kikwete, akiwa ameshikilia zawadi wakati alipotembelea banda la wadau wa Utalii kwenye ufunguzi wa Maonesho ya Utalii

Mhe. Rais Jakaya Kikwete, amesema kwamba Vyombo vya habari vya Magharibi vimekuwa kikwazo kwa ukuaji wa Tasni ya Utalii Barani Afrika kwa kuripoti habari hasi. Aliyasema hayo jana wakati akifungua Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Kiswahili yajulikanayo kama Swahili International… Read More

01
Oct
2014

Maadhimisho ya Siku ya Mara

Maadhimisho ya Siku ya Mara, ufanyika kila mwaka , tarehe 15 Septemba kwa kupokezana maandalizi kati ya nchi ya Tanzania na Kenya, ni uamuzi wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Kisekta la Bonde la Ziwa Victoria uliofanyika tarehe 4 Mei, 2012 huko Kigali, Rwanda. Read More

maadhimisho_ya_siku_ya_mara
22
Sep
2014

Tangazo la Uuzaji wa Miti ya Misaji kwa Njia ya Makubaliano Maalum

Tangazo la Uuzaji wa Miti ya Misaji kwa Njia a Makubaliano Maalum (Private Agreement) Katika Mashamba ya Miti Longuza, Mtibwa na Rondo. Read More

TANGAZO_LA_UUZAJI_WA_MITI

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top