You Are Here: Home » Whats New

Whats New

01
May
2014

Wafanyakazi Maliasili Na Utalii Waungana Na Wenzao Duniani Kusheherekea Mei Mosi

Wafanyakazi wa Wizara ya Maliasili na Utalii waungana na Wafanyakazi wenzao kusherekea siku ya Wafanyakazi Duniani ( Mei Mosi) wakati Mhe. Rais Jakaya Kikwete akihutubia katika sherehe hiyo katika Uwanja wa Uhuru DareS salaam. Read More

08
Apr
2014

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 482 za kazi kwa waajiri mbalimbali kama ifuatavyo: Read More

Vacancy_announcement
04
Apr
2014

Mhe. Lazaro Nyalandu Afungua Mkutano Wa 21 Wa Baraza La Wafanyakazi La Wizara Ya Maliasili

Mkutano wa 21 wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Maliasili na Utalii umefunguliwa rasmi leo tarehe 4 Aprili 2014, Mjini Morogoro na Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mhe Lazaro Nyalandu ambaye amewaasa wajumbe kujenga mazoea ya kufanya kazi kwa uadilifu na nidhamu ili kufikia… Read More

26
Mar
2014

Minister for Natural Resources And Tourism Lazaro Nyalandu Promotes Tanzania On BBC HARDtalk

Minister for Natural Resources And Tourism Lazaro Nyalandu Promotes Tanzania On BBC HARDtalk Read More

24
Mar
2014

Tanzania’s campaign against poaching gets global backing

Tanzania has signed an agreement with the International Conservation Caucus Foundation (ICCF) and the United Nations Development Programme (UNDP) to curb the current wave of poaching. Read More

18
Mar
2014

Jumla ya mizinga 1,400 ya nyuki yatundikwa nchini

Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu imewezesha kila mkoa nchini kutundika mizinga 50 katika kuazimisha Siku ya Kutundika Mizinga kitaifa iliyofanyika Machi 18, Mwaka huu. Read More

02
Mar
2014

Tanzania Shines at ITB Berlin, 2014

Tanzanian stand attracted hundreds of tourists, travel agents and other tourism stakeholders in the ongoing International Tourism Exchange, which is the World’s largest annual tourism exhibition taking place in Berlin, Germany. Read More

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top