You Are Here: Home » Whats New

Whats New

16
Dec
2018

MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI YAPIGIWA CHAPUO UTALII

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constanine Kanyasu ametoa wito kwa wafanyabiashara za utalii nchini kuwekeza katika mikoa ya Nyanda za juu Kusini ambayo ina vivutio vingi vya utalii. Read More

16
Dec
2018

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU UCHOMAJI MATOFALI KWA KUTUMIA NISHATI YA KUNI

Serikali imepiga marufuku uchomaji matofali kwa njia ya tanuri kwa kutumia nishati ya kuni hasa katika maeneo ya mijini na badala yake imewataka wachomaji hao watumie pumba kama nishati mbadala ya kuchoma matofali hayo. Read More

16
Dec
2018

NAIBU WAZIRI, MHE.KANYASU ATAKA USHIRIKISHWAJI UTATUZI MIGOGORO HIFADHINI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Constantine Kanyasu ameitaka Taasisi ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania, (TAWA) iwashirikishe wananchi pale inapotokea migororo ya ardhi kati ya Hifadhi na wananchi. Read More

16
Dec
2018

TAASISI ZA UHIFADHI   ZAAGIZWA KUTUMIA SPORT TOURISM KUNADI VIVUTIO VYA UTALII

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu amezitaka Taasisi za uhifadhi na utalii nchini zianze kuitazama fursa ya utalii michezoni(Sport Tourism) kwa namna ya kipekee na kuiwekea mkakati wa namna ya kuitumia. Read More

16
Dec
2018

WIZARA YATENGA SH.700 MILI0NI KUWEZESHA UFUGAJI NYUKI KISASA

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mfuko wa Misitu Tanzania (TaFF) imetenga kiasi cha Sh700milioni kwa ajili ya kuwawezesha wananchi kufuga nyuki kwa njia ya kisasa kwa mikoa nane. Read More

20
Nov
2018

MAKAMU WA RAIS, MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWAONYA WAVAMIZI WA HIFADHI NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametoa onyo kwa wananchi wenye tabia ya kufanya shughuli za kibinadamu ndani ya Hifadhi kuwa, waache mara moja na wale watakaoendelea wasije kuilaumu serikali kwa hatua zitakazochukuliwa dhidi yao.
Read More

© 2019 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top