You Are Here: Home » Whats New

Whats New

25
Mar
2018

NAIBU WAZIRI JAPHET HASUNGA AFUNGA MAFUNZO KWA WAHITIMU WA JESHI USU

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga amewaagiza wahifadhi wote nchini kuhakikisha kuwa hakuna misitu inayoendelea kuharibiwa ikiwa ni pamoja na kuimarisha utoaji wa elimu kwa wananchi wanaozunguka misitu ya hifadhi ili wasiweze kukata miti ovyo kwa ajili ya makazi na… Read More

18
Mar
2018

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UTENDAJI TAWA

Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii ambayo ipo mkoani Kagera imeridhishwa na utendaji kazi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) baada ya kutembelea Mapori ya Akiba ya Biharamulo, Burigi na Kimisi (BBK) kuangalia kazi za uhifadhi zinazofanywa ambapo wameipongeza… Read More

© 2018 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top