You Are Here: Home » Whats New

Whats New

21
Oct
2017

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII KIGWANGWALLA AZUNGUMZA NA WATUMISHI MJINI DODOMA

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla mapema leo Oktoba 21,2017 amewasili Makao Makuu ya Wizara ya Maliasili na Utalii Mjini Dodoma na kufanya mkutano na watumishi pamoja na wakuu wa taasisi ya Wizara hiyo. Read More

14
Oct
2017

MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU AFUNGUA MAONESHO YA UTALII YA KIMATAIFA (S!TE)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Mama Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mapato yatokanayo na utalii yanatarajia kukua hadi kufikia Dola za kimarekani USD 16 Bilioni ifikapo 2025.

Makamu wa Rais amesema hayo leo jijini Dar es Salaam leo alipokuwa akifungua… Read More

05
Oct
2017

HOTUBA YA MAKAMU WA RAIS, SAMIA SULUHU HASSAN, YA KUZINDUA MAKUMBUSHO MPYA YA OLDUVAI-NGORONGOROAwali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha sote kuwepo mahali hapa katika tukio hili la kihistoria. Aidha, napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa kunipa heshima ya kuwa mgeni rasmi katika hafla hii ya uzinduzi wa Makumbusho mapya ya Olduvai. Read More

05
Sep
2017

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YAUNGA MKONO WANANCHI KUONDOLEWA HIFADHINI

Na Hamza Temba - Bagamoyo, Pwani - Septemba 3, 2017

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii imeunga mkono uamuzi uliofikiwa na kamati maalum iliyoundwa na Serikali ya Wilaya ya Bagamoyo kwa ajili ya kutafuta suluhu ya kumaliza mgogoro wa ardhi baina ya… Read More

© 2017 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top