KATIBU MKUU, PROF.MKENDA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA MKOA WA IRINGA

KATIBU MKUU, PROF.MKENDA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA MKOA WA IRINGA

Wajumbe wa Kamati ya Uendeshaji ya Mradi wa REGROW wakisikiliza maelekezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda kuhusiana na Ujenzi wa Jengo la…

KATIBU MKUU, PROF.MKENDA MAKUMBUSHO YA MKOA WA IRINGA

KATIBU MKUU, PROF.MKENDA MAKUMBUSHO YA MKOA WA IRINGA

Katibu Mkuu Prof. Adolf Mkenda akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Makumbusho ya Mkoa wa Iringa [Iringa boma] Bw. Jan Kuever kuhusiana na kumbukumbu zilizopo katika boma hilo.

MHE. KANYASU ATOA ANGALIZO PORI LA SWAGASWAGA KUHUSU HOSTELI ZA WATALII

MHE. KANYASU ATOA ANGALIZO PORI LA SWAGASWAGA KUHUSU HOSTELI ZA WATALII

Naibu Waziri Kanyasu akizungumza na Uongozi wa Pori la Swagaswaga mara baada ya kukagua ujenzi unaoendelea wa Hosteli zenye uwezo wa kulaza watalii 77

NAIBU WAZIRI MHE. KANYASU ASISITIZA  WANANCHI WAFUATE SHERIA ZA UHIFADHI

NAIBU WAZIRI MHE. KANYASU ASISITIZA WANANCHI WAFUATE SHERIA ZA UHIFADHI

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu akizungumza na watumishi wa Pori la Akiba la Swagaswaga mara baada ya kutembelea michoro ya mapangoni iliyochorwa zaidi…

MHE. KANYASU ASISITIZA MAHUSIANO MEMA KATI YA WANANCHI NA WAHIFADHI

MHE. KANYASU ASISITIZA MAHUSIANO MEMA KATI YA WANANCHI NA WAHIFADHI

Naibu Waziri Mhe. Kanyasu ( wa pili kulia) akioneshwa michoro ya mapangoni na Askari Wanyamapori iliyochorwa zaidi ya miaka 1000 iliyopita na kabila la Wasandawe

WAZIRI KANYASU AAGIZA MINADA YA MIFUGO  ILIYOKAMATWA HIFADHINI IFANYIKE NJE YA HIFADHI

WAZIRI KANYASU AAGIZA MINADA YA MIFUGO ILIYOKAMATWA HIFADHINI IFANYIKE NJE YA HIFADHI

Naibu Waziri Mhe.Constantine Kanyasu(kulia) akizungumza na baadhi ya askari wanyamapori wakati umuhimu wa kuimarisha mahusiano mazuri na jamii wanayoizunguka

NAIBU WAZIRI KANYASU ATOA ONYO KWA WAHIFADHI NCHINI KUHUSU WANANCHI

NAIBU WAZIRI KANYASU ATOA ONYO KWA WAHIFADHI NCHINI KUHUSU WANANCHI

Naibu Waziri Mhe. Constantine Kanyasu wa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kisondoko ambacho ni miongoni mwa vijiji vilivyomo ndani ya Pori la Akiba la Mkungunero katika wilaya…

Ministry

© 2019 - Ministry of Natural Resources and Tourism Tanzania

Scroll To Top